Amos 9:15

15 aNitaipanda Israeli katika nchi yao wenyewe,
hawatangʼolewa tena
kutoka nchi ambayo nimewapa,”

asema Bwana Mungu wenu.
Copyright information for SwhNEN